Friday, October 31, 2014

WACHA MOVIE IANZE : WEMA NA AUNTY EZEKIEL LEABIANS!!!

Mwanadada mwenye sifa za kutosha nchini Tanzania na anayesikika kuwa na panda shuka za mapenzi na Diamond kwa jina WEMA SEPETU na mwanadada anayetamba kwa tasnia ya uigizaji tanzania nzima aka Bongo movie kwa jina AUNTY EZEKIEL hivi karibuni wameshuhudiwa wakiparty pamoja kwenye vilabu tofauti Tanzania.
Leo tumembea na kupata kuwa si marafiki tu ila WAPENZI!!!
Thibitisho hiliii......

ACHA MOVIE IANZEEE....

No comments:

Post a Comment