Friday, October 31, 2014

"ULIZA MCSK KIDIS KABLA YA KUONGEA"

Bwana Dna kupitia Pwani fm kipindi cha MashavMashav university leo amefunguka na kukana uvumi na uzushi kuwa amekuwa akimzidi mwimbaji mashuhuri mkoani kidis wa kamua leo.
Ambapo hivi karibuni kidis alikuwa akidai kuwa Dna amekuwa akimzidi pato lake kwa mcsk .
Bwana Dna amesema kuwa baada ya kuskia shutma hizo alimpigia Kidis na Kumwambia kuwa angedhibitisha ama kupeleka malalamishi Kwa MCSK ambao ndio wanaohusika na malipo ya mziki hapa nchini.

Nani anakamuliwa hapa???

No comments:

Post a Comment