Friday, October 31, 2014

PWANI CELEBRITY AWARDS "ITS ALL CRAP"

Baada ya Nominations za Pwani Celebrity Awards kutangazwa juma lililopita kumetokea majibizano kupitia mtandao wa kijamii Facebook na baadhi ya maneno kufanya wengine kujitoa katika kinyanganyiro hicho cha Awards za Pwani celebrity.
Kama Msanii mkongwe Susu mila baada ya kuzipuuza award za hapa mkoani Amepata wenzake na pia kumuunga mkono.
Baadhi yao ni Presenters wa MWAKEMWAKE wanaojulikana kama Aka DOUBLE C ikimaanisha CHIGULU NA CHRISS!!
Napia Msanii Mlevi wa mapenzi aka DAZLAH na producer mkali wa TEE HITS aka TEE HITS!

Je Wengine watajichuja??

No comments:

Post a Comment