Thursday, June 18, 2015

NANI BOY WA MTAA?? CRAZY K NA OHZY WAPIGANA

Coast controvasial rapper anayetamba kwa trak ya SABABU YAKE akimshirikisha Sultan Wa Pwani ambaye pia ni hit maker wa MIC CHECK anayejulikana kama Crazy K ambaye hivi majuzi walurecordi trak na msanii wa commercial rap na mwanzilishi wa kikundi cha X-Mathare Mkali Ohzy Tayari Ushajua trak inayokwenda kwa jina BOY WA MTAA!!
BOY WA MTAA ni trak ambayo ilikuwa iachiliwe wiki hii ambapo haikuachiliwa baada ya Wasanii hawa wawili kukosa kukubaliana umiliki wa trak hii.
Ohzy kwa upande wake anadai kuwa yeye ndie alileta idea na crazy k anadai kuwa yeye ndie aliye andika mashairi!

FUMBO AMBALO TWASUBIRI KUFUMBULIWA!!

No comments:

Post a Comment