Thursday, July 17, 2014

CALVO KALI SURVIVES SURGERY.

Msanii Wa Nyimbo za Injili na aliye toa hit and award winning  NIFIKE FAR ~ CALVO KALI baada ya kuguuza ugonjwa Hernia kwa miaka zaidi ya Mitano jana jioni baada ya upasuaji aliibuka kufaulu na kumshukuru MUNGU kwa kipaji cha mziki ambacho kilimlipia Matibabu ya upasuaji.
Akiongea na MAUMBEA DOT COM alisopoa kuwa apo awali hakuweza kugharamia matibabu kwa upungufu wa kifedha ila Baada ya Kumuamini MUNGU na kutia bidii Kwa Mziki alifaulu kupata Hela za Kujisimamia Matibabu.
"Sifa na Shukrani zimuendee MUNGU,na marafiki na jamii yangu kwa kunishikilia na Mafanz wangu kwa support yenu sina cha kuwalipa ila GOD BLESS YOU ALL" akisema msanii Calvo Kali.

No comments:

Post a Comment